Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,449
- 11,108
Unaona mangombe ya bongo Sasa why waweke optionsUnataka option au unataka kazi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nimekuja mbio nikajua zimetoka niombe maana heading imekaa kimachale Sana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nadhani ameuliza swaliMajina yako wapi Sasa
Nadhani vijana wameelewa mtu anaomba kazi kwenye municipal tu, Nani atakuajiri,sema siku hizi na walimu wa kike wanapewa Sana kipaumbeleUnapewa option uchague!.. ila mwisho wa siku wanaanza kuangalia option ulizochagua ziko kwenye kundi la uhitaji sana!?.. hivo kama zipo utapata, kama hazipo watakupeleka wanakotaka wao huko kwenye uhitaji.
Wengi wanaoomba utakuta anaomba shule za hapo dsm dom ama mikoa mingine kwenye hizi shule za katikati manispaa so unakuta ni changamoto kupata, maana wakifata option zenu pekee, wote mtabaki town na hakutakua na mtu huko mashambani..
So lengo la option za kuchagua wanalizingatia ila kwa kuoanisha na option zao za shule ambazo wataajiri.
Asante!..
Mi naona ni fair tu hata wa kiume wako wengi pia.. nmeona ajira za mwaka jana ilikua fair wanaume na wanawake!!..Nadhani vijana wameelewa mtu anaomba kazi kwenye municipal tu, Nani atakuajiri,sema siku hizi na walimu wa kike wanapewa Sana kipaumbele
Walimu waliomaliza degree 2017, waliopangiwa kwa chemistry and Biological 80% walichukuwa wa kikeMi naona ni fair tu hata wa kiume wako wengi pia.. nmeona ajira za mwaka jana ilikua fair wanaume na wanawake!!..
Alafu kuna MTU aliniambia kuwa mbinu mojawapo ya kupata nafasi n kuomba sehemu zenye uhitaji mn sehem za mjini lbd uwe na connectionWalimu waliomaliza degree 2017, waliopangiwa kwa chemistry and Biological 80% walichukuwa wa kike
Kwamba wanaokosa wote wanaomba mijini? No, wanachukuia hivi mfano shule x inaitaji Mwalimu wa Biology, wakiangalia wameomba Watu wa3 let say A kamaliza 2018, B- kamaliza 2018 na C- kamaliza 2017, basi wanachukua wa 2017, Kama wote ni wa mwaka mmoja wanachukua Wa kike, Kama wote ni same gender,same year of graduating, Basi wanachukua aliyewahi kuombaAlafu kuna MTU aliniambia kuwa mbinu mojawapo ya kupata nafasi n kuomba sehemu zenye uhitaji mn sehem za mjini lbd uwe na connection
NakaziaUnataka option au unataka kazi
Sawa kaziaNakazia
Tuanzie Hapo Kwanza
[emoji12]Nimekuja mbio nikajua zimetoka niombe maana heading imekaa kimachale Sana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji12]
Mzee wa muongozoNgoja waje kukupa muongozo...