Ajira za walimu mwaka huu

Madaktari wamenyolewa sisi tunatakiwa tutie maji.
Usiitegemee sana serikali kwa sasa mana unaweza kuja kujutia muda ulioupoteza
 
Hongera [emoji122] [emoji122]. ila jua kuwa hakuna mtu aliyeanza kujiajiri Bila assistance
ni kweli kuna assistant lazima upate kwa upande wangu nying zilikua za ushauri kwa waliotangulia kufanya kile nilichokua naanza ila kifedha kwa kweli nilipambna mwenyew hata kupata connection zote nlipambna
 

Mkuu naomba uniambie ulipambana vip kufikia hapo ulipo
japo sjajua unajishugulisha na nini
Ningependa kujifunza kitu toka kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…