Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 838
- 496
- Thread starter
-
- #41
kama unasubiri kuwezeshwa ndo ujiajiri kwa hii nchi yetu utangoja sana na utabaki kulalamika hadi unapopokea mafao na kua broke maana kujiajiri hakukwepeki either sasa au ukipokea mafaoUnapowaambia vijana wajiajili ww jiulize kwanza umewawezesha wangapi ktk hiyo kazi unayosema wakajiajil au ndy upo ofsn na kiti cha kuzunguka huku unasema vijana wajiajili,
kweli kujiajiri ni process ngumu sana unapoanza ila ukiweza kumaster mwanzoni baadae rahisiHv ulieajiriwa uktolewa leo kwenye ajira utajiajir au ndo utakuwa hovyo kuliko hata wasio na ajira sasahv? Kujiajir kaz kuliko kuajiriwa!
we jamaa future yako is your business sa ukikata tamaa na kutia huruma unafikiri maisha nayo yatakuonea hurumaMm nmechoka saiv wamezd kutudanganya maisha yang nmemuachia mungu tu
yako = takowe jamaa future tako is your business sa ukikata tamaa na kutia huruma unafikiri maisha nayo yatakuonea huruma
shukrani mkuu hizi simatifoni hapana aseeyako = tako
wapi mkuu??MWALIMU MSAIDIZI WA SOMO LA KISWAHILI ANAHITAJIKA CLASS 1 TO 3
Unajua unaboa Sana. !! Ivi wewe hapo ulipo umefika Bila kuwenzeshwa???! Acheni unafiki. Huyo Mengi, MO dewej bakharesa hao wote waliwezeshwa NDO wskafikia wskafikia hapo. Hata Donald Trump naye aliwezzeshwa. ACHA UNAFIKI WEWEkama unasubiri kuwezeshwa ndo ujiajiri kwa hii nchi yetu utangoja sana na utabaki kulalamika hadi unapopokea mafao na kua broke maana kujiajiri hakukwepeki either sasa au ukipokea mafao
Utaweza kufundisha shule ya msingi na hio degree yako.Mkuu Mimi nimehitimu shahada ya Elimu katika somo tajwa hapo.
Naomba unipe direction ya kupata hiyo kazi.
Asante.
bwana mdogo sijawahi kuwezeshwa hata senti tano na ndugu wala mzazi wala serikali wala jamaa yoyote na nmetokea kwene familia yenye umaskini wa kutosha sanaaaa but now nimejiajiri vizur kabisa bila tatzo nadhani ingekua busara ukauliza niliweza vipi katika nchi hii iliyojaa vikwazo kuliko ulichofanyaUnajua unaboa Sana. !! Ivi wewe hapo ulipo umefika Bila kuwenzeshwa???! Acheni unafiki. Huyo Mengi, MO dewej bakharesa hao wote waliwezeshwa NDO wskafikia wskafikia hapo. Hata Donald Trump naye aliwezzeshwa. ACHA UNAFIKI WEWE
wengine wanaleta siasa hadi kwene future zaoTatzo Tz kila mtu mwanasiasa!
Ndio ninauwezo.Utaweza kufundisha shule ya msingi na hio degree yako.
Mimi najua degree unaandaliwa kuwa mwalimu wa sekondari sio msingi.Ndio ninauwezo.
Kufundisha ndio taaluma yangu Mkuu.
Mbinu za ufundishaji ni zile zile tu japo zinaweza kutumika kulingana na umri wa unaowafunza.Mimi najua degree unaandaliwa kuwa mwalimu wa sekondari sio msingi.
ACHA huongo wewe. Kwani umedondoka toka mbinguni mbinatsi??bwana mdogo sijawahi kuwezeshwa hata senti tano na ndugu wala mzazi wala serikali wala jamaa yoyote na nmetokea kwene familia yenye umaskini wa kutosha sanaaaa but now nimejiajiri vizur kabisa bila tatzo nadhani ingekua busara ukauliza niliweza vipi katika nchi hii iliyojaa vikwazo kuliko ulichofanya
Wahitimu mtalalamika hadi lini?
Tumieni elimu yenu kujiajiri!
Pia mashamba yapo mengi sana itakua vizuri zaidi mkaingia katika kutuzalishia mazao ya chakula na biashara
bwana mdogo naona najaribu kuwasiliana na mtu uliye na uelewa mdogo nachomaanisha ni kua katika harakati zangu za kujiajiri sikuwahi kupata backup ya lolote toka kwa hao nliowataja sasa sijaelewa argument yako ni nn hasa maana naona na mada za ndugu na wazazi zinaanza ...kama hawakunsaidia in process unataka nkujaze uongo kua walihusika?ACHA huongo wewe. Kwani umedondoka toka mbinguni mbinatsi??
Hongera [emoji122] [emoji122]. ila jua kuwa hakuna mtu aliyeanza kujiajiri Bila assistancebwana mdogo naona najaribu kuwasiliana na mtu uliye na uelewa mdogo nachomaanisha ni kua katika harakati zangu za kujiajiri sikuwahi kupata backup ya lolote toka kwa hao nliowataja sasa sijaelewa argument yako ni nn hasa maana naona na mada za ndugu na wazazi zinaanza ...kama hawakunsaidia in process unataka nkujaze uongo kua walihusika?