Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 838
- 496
Mkuu Mimi nimehitimu shahada ya Elimu katika somo tajwa hapo.MWALIMU MSAIDIZI WA SOMO LA KISWAHILI ANAHITAJIKA CLASS 1 TO 3
ww ulizalisha nn??Wahitimu mtalalamika hadi lini?
Tumieni elimu yenu kujiajiri!
Pia mashamba yapo mengi sana itakua vizuri zaidi mkaingia katika kutuzalishia mazao ya chakula na biashara
msimu wa kilimo umekaribia nenda kaandae shamba!ww ulizalisha nn??
mi nahic ww unalima bangi mana sio buremsimu wa kilimo umekaribia nenda kaandae shamba!
Na wewe lima zao litakalokutoa haraka kama ivyo!mi nahic ww unalima bangi mana sio bure
ushawahi fikiri kitu tofauti na kilimo changanya ubongo acha kuwa mtumwa wa mawazo ya watuNa wewe lima zao litakalokutoa haraka kama ivyo!
Hiyo ndio njia rahisi na inahitaji mtaji kidogo ukicompare na kazi nyingine kama biashara!ushawahi fikiri kitu tofauti na kilimo changanya ubongo acha kuwa mtumwa wa mawazo ya watu