Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,165
Bora ume mwambia ukweliAisee Me Ni Graduate wa Mzumbe.Nimeumia Sana Kuona Graduate Wa UDSM anamaliza Chuo Ajui CPA ni nini Ni Aibu Kwa Fani yetu.Umedhalilisha Fani Ya UHasibu Umedhalilisha CHuo Ulichotaja.Mwaka wa Pili Ulisoma Nini kwenye Auditing,Financial Accounting II.?
Nimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam ngazi ya shahada. Katika fani ya uhasibu kwa wenye makampuni au yeyote anaetaka kuajiri mwasibu anipm ili tuweze kuwasiliana zaidi. Ahsanteni
Kuna watu mnamawazo ya kukalilishwa hasa na media campaign kisa kumekuwa na kelele nyingi za kujiajiri watu wasiombe kazi...listen,inapotokea fursa au campaign za kujiajiri au tatizo la ajira...DOESNT mean employment has stopped! Ajira zipo japo zinachangamoto nimependa mbinu uliyoitumia kujitangaza,japo vichwa maji walio kalilishwa kujiajiri japo wao wenyewe hawana hata genge la nyanya wanakubeza...pambana tafuta ajira kwa style mbali mbali muhimu nikujiuza kwa namna kama hizi,pia kuwa na options nyingi ikiwemo kujiajiri...japo wange hupiga kelele mtu ajiajiri wakiwa makazini au wakisha hacha kazi na kuwa na mtaji,hata kujiajiri needs experience...so usikalishwe...you can build you own inspiration story...hachana na watu wa humu wamekalilishwa na medias
hawa ndo waliosomaga HGE so background ya uhasibi haijui so msishangae kuwa hajui CPAMm nko advance(six)) ECA. lakn najua maana ya CPA sasa kaka yang ananishangaza sana
Bro ni bora ukafunguka.Nina uhakika kabisaa" WW SIO GRADUATE. UMELETA MAADA HAPA KUWACHORA WATU TU" mfyuuuu!!!!!!!
We nawe kama mleta mada tu, hata Accountant hujui inavyoandikwaAise umenikatisha tamaa me nina kampuni yangu na ni shida na Accauntant inakuwaje we ni graduated hujui maana ya CPA
Umesema una shahada from udsm? Hujui CPA ni nini? No thank you...!Tafadhari naomba ufafanuzi CPA ndo nini ili niende kukomaa nao inaweza ikanitoa
Mulugo kaharibu elimu yetu sana. Accountant hujui maana ya CPA? Tena umesoma ud? Ingekua eagles college au kilimanjaro institute ukasema hujui cpa ni nini ningekuelewa au amazon, sio ud.
Pole sana.
Mi nimemaliza HGE 2011 na CPA nilianza kuijua kabla hata sijafika chuo,Nimegraduate Bcom-Accounting na juz juz nimegraduate CPA So usiingizie combination ya HGE kutojua CPA uyo jamaa ni ukilaza wake tu mwenyewe na hajasoma UD huo ni uongo Pale wanafunzi wote ukiiingia kwenye orientation week unajuzwa kuhusu CPA uyo itakua kasoma Amazon Collegehawa ndo waliosomaga HGE so background ya uhasibi haijui so msishangae kuwa hajui CPA
We UDSM ya wap huyu kasoma... Hakunaga accountant ****** anaemaliza ata CPA hajui n nn... Tafuta kz fanya interview hakuna vya rais rais siku hz!! Juhudi zako zitakufikisha unapotaka ukitaka pm utangoja saana
Nina uhakika huyu hajasoma UD. Yaani usome B.Com ya UD halafu hujui CPA seriously..!!..? Unless UD ni chuo kipya na sio University of Dar es Salaam.