Ajira za uhamiaji

Ajira za uhamiaji

Subiri kwanza uitwe

Ukiona hivyo ujue tayari ameshatengeneza mazingira ya awali. Ila hawa vijana wajue kua hata hawa wanaolalamika wana miaka saba sasa bila kazi sio kama hawaombi bali wakati mwingine kupata kazi ni bahati. Haiwezekani ununue mbeleko wakati mwana hajazaliwa bwana.
 
kwani kuna tatizo bro?nahitaji kufahamu tu,hayo ya mazingira yamekujaje sasa?kama ingekuwa hivyo unavyofikiri si ningemuuliza huyo aliyenitengenezea hayo mazingira?hacha kupanic mkuu!
 
Mkuu, usijari sana ukakosa kujiamini haya ni majibu yanayotoa changamoto kwako ili ujue pia njia nzuri ya kuuliza maswali, mfano ungeuliza iwapo mtu akiwa short listed je kuna aina gani za interview zinafuata?
 
Thanks Likwanda. Wakati mwingine watu wanakoswa kazi kwa sababu ya kutokuelewa ni nini cha kuuliza na nini cha kujibu wanapoulizwa maswali. Kingine, tanzania kila mtu ni mjuaji zaidi ya mwenzake. Kwa hali hii tutalalamika kila kukicha pasipo matunda yoyote.
 
Mkuu, usijari sana ukakosa kujiamini haya ni majibu yanayotoa changamoto kwako ili ujue pia njia nzuri ya kuuliza maswali, mfano ungeuliza iwapo mtu akiwa short listed je kuna aina gani za interview zinafuata?

1.Mimi najiamini sana kaka.
2.Swali lilikuwa very clear ndiyo maana limejibiwa.
3.Nahic wewe ndiyo iliyejaribu kucomplicate swali langu.
 
Wala husijali, kumbuka kila mtu ana mawazo yake, nawewe huwezi kumzuia mtu kufikiria apendavyo. Cha muhimu kuuliza si ujinga ndio mwanzo wa kuelimika na kujua mengi.
 
Mkuu ungeitwa kwenye bunge la katiba una hoja nzito2. Mbeleko kabla mwana hajazaliwa??????????
 
Back
Top Bottom