Ajira za ualimu zitatoka lini?

Ajira za ualimu zitatoka lini?

Angalia usije kufu maskin. Watu wako busy kujiajiri we anataka vya kunyonga? Pole, endelea kuchumia tumbo.
 
Baba mdogo(MFANYAKAZI WA WIZARA) kanambia ALHAMISI be patient!
 
Angalia usije kufu maskin. Watu wako busy kujiajiri we anataka vya kunyonga? Pole, endelea kuchumia tumbo.

Ndugu mbona umetumia hasira sana kumjibu mwenzio,Jitahidi kuficha madhaifu yako na wakati mwingine usimjibu mtu kama una hasira.
Ni ushauri tu msomi mwenzangu.
 
Vuten subira jaman! ukwel uko hapa, Kuanzia 10-20, February!
 
mimi nilifikir baba yako?? chaaaa kumbe baba mdogo kamuoa mama yako mdogo co?? pumbavuu.. ajira zenu mpaka bunge la katiba liishe pumbav zenyu
 
Nafkiri JF sasa imevamiwa na wahuni wasiojitambua, ya nini kutukanana, lugha chafu, kukashifiana, bila hata sababu za msingi? Mleta mada amewakosea nini? Mjitadhmini bwana. Mods fungia maisha hawa watu
 
Ajira za ualimu zitatoka pindi wafanyabishara watakapo kubari kununua machine za EFD ili serikali ipate pesa. Kwa sasa Hazina hakuna hela kabisa. WOte tunalijua ilo...
 
Back
Top Bottom