Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 1,007
- 1,511
Hmmm! Sasa kwa wanafunzi hawa wa. Com sijui itakuwaje!Elimu ya cheti haiwezi kufutwa kwakuwa ndilo chaka la serikali kujipatia umaarufu wa kisiasa kwamba inatoa ajira Kwa vijana na isitoshe huko ndiko inajipatia cheap labours wanaofanya kazi kubwa Kwa malipo kiduchu.
Wawapeleke awali..Sio kweli, hakuna walaka Bali kuna mtaala,walimu wa diploma in secondary watapaswa kupewa muda wa kujiendekeza nasio kushushwa,sasa wakishushwa na wamsingi wenye certificate watafanya nini au watawapeleka wapi!?
Hili haliwezi kuwa suruhu ya wewe kupata ajira,labda ombea wafe woteWawaprleke awali..
Hahahaaa..Hili haliwezi kuwa suruhu ya wewe kupata ajira,labda ombea wafe wote
Suluhu ni ipi mkuu na ndg yangu?Hili haliwezi kuwa suruhu ya wewe kupata ajira,labda ombea wafe wote
Nimesema mara nane according to take home ya ticha (degree mwenye mkopo)Mkuu ,Mara nane ya ualimu means kama ana digrii ni 800,000 x 8 = 6,4000,000/= [emoji23][emoji23][emoji23] wadanganye watoto.
Harafu hapo hapo huyo mtu ukemuombea tena ualimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We Jamaa we we,Mungu anakuona
Hakika mkuuNadhani awamu ya 5 imechangia sehemu kubwa kuwa na wahitimu wengi mtaani.
Awamu ya 6 yatakiwa iajiri angalau ajira 40000 kila mwaka ili mizania itimie
Tusubili mwakaniMkeka wa ajira mpya za ualimu huo ndugu zangu
AiseeTusubili mwakani
Kama hapo hizo nafasi 21 elfu wakiotuma naombi 170,000 alafu watu wanaona kawaida. Hahah. Time shall speak the pure truths.Nadhani awamu ya 5 imechangia sehemu kubwa kuwa na wahitimu wengi mtaani.
Awamu ya 6 yatakiwa iajiri angalau ajira 40000 kila mwaka ili mizania itimie
Watu wa Sanaa aisee,,,Sayansi 2018 hasa mathe weng sana wameenda
Nimepata mungu mwemaMPYA:HAYA HAPA MAJINA AJIRA MPYA ZA UALIMU NA AFYA JUNI 2023
KUYAONA KWA URAHISI MAJINA HAYO BONYEZA HAPO CHINI ππππππππππππππ BONYEZA HAPA KUPATA MAJINA AJIRA MPYA UALIMU 2023 πajira m...tamisemiblog.blogspot.com