Ajira za ualimu na Afya

Hakuna kitu ambacho kipo smooth Brother....Mimi nimemliza degree 2016 nimefany Education
Mojor Geograph
Minor History

Tupo wengi sana mtaani mmi nimejikita kwenye kilimo kinanilipa nilianza kulima heka 2 mwak 2017.....

Kwa Sasa nalima heka 10 pia nafanya biashara ya mazao kidgo ....hakuna kukata tamaa ajira zikukutie mbali ....cc tuna mwanga wa elim kidgo .. karibu ,Omba Mungu ,tia bidiii .....

Sio kama nimefanikiwa hapana lakini namshukuru Mungu familia yang inapta mkate..

Tufnye kaz ambazo sio rasmi

Vua joho
Weka chet ndani
Jichanganye....Mungu yupo...
Post zikitoka omba ukipata fresh
Ukikosa komaa na mishe umri haukusubiriii...
 
Habarini ndugu hakuna kipindi kigumu Kama hiki miaka 7 mtaani bila ajira kisaikolojia ni kipindi kigumu endapo watakosa tupeni ushauri jamaan 😭😭😭😭
Mi Nina miaka 15 Sina ajira
 
Elimu ya cheti haiwezi kufutwa kwakuwa ndilo chaka la serikali kujipatia umaarufu wa kisiasa kwamba inatoa ajira Kwa vijana na isitoshe huko ndiko inajipatia cheap labours wanaofanya kazi kubwa Kwa malipo kiduchu.
 
Mi Nina miaka 15 Sina ajira
Course gani?? Kama ni ualimu au afya Hilo sio kosa la serikali ni uzembe wako mwenyewe, maana huko nyuma ajira kwa sector hizo alikuwa haachwi mtu tatizo limeanza 2015, hivyo wanaopaswa kulaumu humu kutokana na jina la uzi ni hao wa kuanzia mwaka huo na mimi nikiwemo ambao mpaka sasa tuna miaka 8 kitaa.
 
Mwalu
 
Naunga mkono hoja, ajira ukiiomba huku una kitu kinachoendeleza maisha yako inaleta tija zaidi kuliko kuwa muomba ajir tu usiyetafuta kupambana na harakati zingine za kitaa.
 
Mkuu ,Mara nane ya ualimu means kama ana digrii ni 800,000 x 8 = 6,4000,000/= [emoji23][emoji23][emoji23] wadanganye watoto.

Harafu hapo hapo huyo mtu ukemuombea tena ualimu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We Jamaa we we,Mungu anakuona
 
Wanashushwa kwenda wapi? Je na wale wa certificate nao watapanda kwenda wali,punguza stress za uhaba wa ajira
Bilashaka nilisikià kuna waraka ulitolewa,sekondari wafundishe wenye digrii tu na kuendelea,ilhali watu wenye diploma na kushuka chini,wafundishe primary na chekechea.
 
Bilashaka nilisikià kuna waraka ulitolewa,sekondari wafundishe wenye digrii tu na kuendelea,ilhali watu wenye diploma na kushuka chini,wafundishe primary na chekechea.
Sio kweli, hakuna walaka Bali kuna mtaala,walimu wa diploma in secondary watapaswa kupewa muda wa kujiendekeza nasio kushushwa,sasa wakishushwa na wamsingi wenye certificate watafanya nini au watawapeleka wapi!?
 
Sio kweli, hakuna walaka Bali kuna mtaala,walimu wa diploma in secondary watapaswa kupewa muda wa kujiendekeza nasio kushushwa,sasa wakishushwa na wamsingi wenye certificate watafanya nini au watawapeleka wapi!?
Ok! asañte kwa ufafanuzi.
 
Wew unapata mwaka huu kinyume na hapo ni maajabu ya mwaka yatakua
 
Inawezekana ukawa pacha wangu mana kila kitu ni same kuanzia mwaka mtaji mishe nk...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…