Habarini ndugu hakuna kipindi kigumu Kama hiki miaka 7 mtaani bila ajira kisaikolojia ni kipindi kigumu endapo watakosa tupeni ushauri jamaan ππππ
Miaka 7 halafu ukose tena,ndo inauma,halafu wa 2022 unawaona kwenye mkeka kama wote,hapo ndo itauma zaidi.
Tuzidi kumuomba Mungu,sisi ambao tumemaliza chuo muda mrefu,tukumbukwe pia.Inatesa kisaikolojia sana.

Unaweza fua begi ukija kuangalia pdf haupo bila kujali wewe ni mwaka gani hizi ajira ni kama kucheza kamari yeyote anaweza kupata na yeyote anaweza kukosa