Ajira za TRA

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
1,881
Reaction score
3,661
Nimeskia hapa wa mama ambao elimu yao ni ya darasa la saba wakinena kua serikali ipongezwe kwa kidogo ilichofanya. Eti kisa zile ajira 400 kati ya maombi 30000.

Sasa nikawauliza ajira gani serikali imetengeneza?, Mmejiuliza kama hizo ajira 400 sio watu walio staafu mwaka huu? Wamebaki macho kodo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli hataki kabisa kutaja neno AJIRA hata kwa bahati mbaya. Maana pesa za kuwalipa watu fulani POSHO ZA LAKI NNE utatoka wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…