MTETEZI WA WANYONGE
Member
- May 30, 2014
- 47
- 23
Nimetuma maombi kwa nafasi zilizotangazwa na saccoss ,email haikwenda Majibu yamekuja kuwa EMAIL ZIMEJAA KWA MPOKEAJI,
Mimi nimetuma Jana,
Mwenzangu alituma siku ya tangazo jioni nae ameambiwa hivyo,
Je Kuna Nini hapo?
Mimi nimetuma Jana,
Mwenzangu alituma siku ya tangazo jioni nae ameambiwa hivyo,
Je Kuna Nini hapo?