Ngoja aje H.Kigwangwala mkuu utapata majibu maridhawa....japo nae inaonekana tangu apate ajali dishi limeyumba, anapayuka tu huko twitter....Naomba kujua kuhusu shortlist za Tanapa zinachukua muda gani kutolewa na ni wapi pa kuzipata?
Mpaka deadline ya application ipite, kama uliapply kwenye tangazo hiliBinafsi naomba kujua ukiomba kazi sehemu, kwa kawaida huwa inachukua muda gani kutoa majibu ya watu waliochaguliwa kwa ajili ya usaili??
endelea kuwa mvumilivu Jaman mie naweza kuaply sasaiv au nimechelewaa?Mpaka deadline ya application ipite, kama uliapply kwenye tangazo hili![]()
![]()
endelea kuwa mvumilivu
Toggle navigation
MHIFADHI WANYAMAPORI III - 17 POST
Employer: Ministry of Natural Resources and Tourism
Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2019-02-22
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i.Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi;
ii.Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi;
iii.Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa picha;
iv.Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori;
v.Kukusanya na kulinda Nyara za Serikali;
vi.Kufanya usafi na ulinzi wa kambi;
vii.Kusimamia uingiaji na utokaji wa watu na mali zao kwenye hifadhi;
viii.Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani;
ix.Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya wanyamapori na kukusanya takwimu zao;
x.Kusimamia taratibu za kusafirisha wanyamapori hai na nyara nje na ndani ya Nchi;
xi.Kudhibiti wanyamapori waharibifu;
xii.Kudhibiti moto kwenye hifadhi; na
xiii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato cha VI wenye Astashahada ya Uhifadhi Wanyamapori (Technician Certificate in Wildlife Management) kutoka Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: Salary Scale TGS B2.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho trh 22 mwezi huu kulingana na post yao hapo juuJaman mie naweza kuaply sasaiv au nimechelewaa?
Mie mwenyewee nimeona ivoo ila nmemchek jamaa ang service amenambia deadline imepita sasa sijaelewaaJaman mie naweza kuaply sasaiv au nimechelewaa?
Iv ukiwa form six aujapitia jkt vp cuna apply? Em nisaidieni na kwa hilii
sifahamu kk,we apply tu mana kwenye qualification hawajasema mtu apitie jktIv ukiwa form six aujapitia jkt vp cuna apply? Em nisaidieni na kwa hilii
Poa poa kaka ngjaa nijaribuu semaa sijui ata nianzie wap ,,,, mwenye information kidogo anipee wakubwaasifahamu kk,we apply tu mana kwenye qualification hawajasema mtu apitie jkt
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia ajira portal ujisajili,jaza info zako na kuattach docs zinazohitajika then unaapplyPoa poa kaka ngjaa nijaribuu semaa sijui ata nianzie wap ,,,, mwenye information kidogo anipee wakubwaa
Em nisaidie namba zakoo mkuu unielekezee🙌Ingia ajira portal ujisajili,jaza info zako na kuattach docs zinazohitajika then unaapply
Sent using Jamii Forums mobile app