FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,924 Reaction score 11,305 Apr 13, 2023 #81 Junior counsel said: Wakuu Kuna dogo namfanyia maombi, alishawahi kuomba hapo kabla pia, lakini Sasa nikiingiza username yake na password naandikiwa unauthorized user, tatizo litakuwa nn hapo? View attachment 2585687 Click to expand... Dogo Anatajira ku apply hajui? Alisoma computer application?
Junior counsel said: Wakuu Kuna dogo namfanyia maombi, alishawahi kuomba hapo kabla pia, lakini Sasa nikiingiza username yake na password naandikiwa unauthorized user, tatizo litakuwa nn hapo? View attachment 2585687 Click to expand... Dogo Anatajira ku apply hajui? Alisoma computer application?
Kandambili1 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2022 Posts 1,107 Reaction score 2,923 Apr 13, 2023 #82 Kazi imeanza.... Hapo sehemu ya kuandika hiyo namba ya form 4 haipo
KASHAMBURITA JF-Expert Member Joined Mar 27, 2021 Posts 206 Reaction score 659 Apr 13, 2023 #83 Wadau mliopitia kwenye hzo shule hakuna uhitaji wa walimu wa history geo na kiswahili kweli?
S scolastika JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,863 Reaction score 5,732 Apr 13, 2023 #84 Walimu walimu nawaona,mko moto hatari
Champion number one JF-Expert Member Joined Dec 17, 2022 Posts 1,516 Reaction score 3,821 Apr 13, 2023 #85 Ebu mnieleweshe tunaweka certified copy ya vyeti au vyeti og
DOMINGO THOMAS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2023 Posts 368 Reaction score 380 Apr 13, 2023 Thread starter #86 sam mirror 1 said: Ebu mnieleweshe tunaweka certified copy ya vyeti au vyeti og Click to expand... Certified Copies.
sam mirror 1 said: Ebu mnieleweshe tunaweka certified copy ya vyeti au vyeti og Click to expand... Certified Copies.
DOMINGO THOMAS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2023 Posts 368 Reaction score 380 Apr 13, 2023 Thread starter #87 sam mirror 1 said: Ebu mnieleweshe tunaweka certified copy ya vyeti au vyeti og Click to expand...
DOMINGO THOMAS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2023 Posts 368 Reaction score 380 Apr 13, 2023 Thread starter #88 Mbaga Jr said: Hakuna mambo ya muhuri wa mwanasheria Click to expand...
Champion number one JF-Expert Member Joined Dec 17, 2022 Posts 1,516 Reaction score 3,821 Apr 13, 2023 #89 DOMINGO THOMAS said: Certified Copies. Click to expand... Shukurani mkuu
DOMINGO THOMAS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2023 Posts 368 Reaction score 380 Apr 13, 2023 Thread starter #90 1. Barua tuna andika kwa mkono au computer? 2. Barua inakuwa ya kiswahili au Kingereza?
A Aluwatan JF-Expert Member Joined Apr 7, 2023 Posts 267 Reaction score 574 Apr 13, 2023 #91 DOMINGO THOMAS said: 1. Barua tuna andika kwa mkono au computer? 2. Barua inakuwa ya kiswahili au Kingereza? Click to expand... Kwani hawajatoa Muongozo mkuu namna ya kutuma maombi,kwenye swala LA lugha huwa nafasi nyingi wanasema iandikwe kwa kiswahili ama kingereza
DOMINGO THOMAS said: 1. Barua tuna andika kwa mkono au computer? 2. Barua inakuwa ya kiswahili au Kingereza? Click to expand... Kwani hawajatoa Muongozo mkuu namna ya kutuma maombi,kwenye swala LA lugha huwa nafasi nyingi wanasema iandikwe kwa kiswahili ama kingereza
S SAIMON EDWARDI Member Joined Aug 7, 2017 Posts 15 Reaction score 15 Apr 13, 2023 #92 Kwenye tangazo hawajaandika lugha wala kama ni handwrite au kutype
Bachelor ll JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 4,103 Reaction score 6,698 Apr 13, 2023 #93 Maririabubakari said: Wadau mliopitia kwenye hzo shule hakuna uhitaji wa walimu wa history geo na kiswahili kweli? Click to expand... Ndio hakuna wamejaa
Maririabubakari said: Wadau mliopitia kwenye hzo shule hakuna uhitaji wa walimu wa history geo na kiswahili kweli? Click to expand... Ndio hakuna wamejaa
M Madibira 1 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2023 Posts 371 Reaction score 844 Apr 13, 2023 #94 DOMINGO THOMAS said: 1. Barua tuna andika kwa mkono au computer? 2. Barua inakuwa ya kiswahili au Kingereza? Click to expand... 1: Andika unavyoona inafaa lakini hakikisha umeisaini 2: Lugha ni chaguo lako kiswahili au kiingereza
DOMINGO THOMAS said: 1. Barua tuna andika kwa mkono au computer? 2. Barua inakuwa ya kiswahili au Kingereza? Click to expand... 1: Andika unavyoona inafaa lakini hakikisha umeisaini 2: Lugha ni chaguo lako kiswahili au kiingereza
M Madibira 1 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2023 Posts 371 Reaction score 844 Apr 13, 2023 #95 SAIMON EDWARDI said: Kwenye tangazo hawajaandika lugha wala kama ni handwrite au kutype Click to expand... Kikubwa sahihi
SAIMON EDWARDI said: Kwenye tangazo hawajaandika lugha wala kama ni handwrite au kutype Click to expand... Kikubwa sahihi
DOMINGO THOMAS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2023 Posts 368 Reaction score 380 Apr 13, 2023 Thread starter #96 Aluwatan said: Kwani hawajatoa Muongozo mkuu namna ya kutuma maombi,kwenye swala LA lugha huwa nafasi nyingi wanasema iandikwe kwa kiswahili ama kingereza Click to expand... Jibu swali
Aluwatan said: Kwani hawajatoa Muongozo mkuu namna ya kutuma maombi,kwenye swala LA lugha huwa nafasi nyingi wanasema iandikwe kwa kiswahili ama kingereza Click to expand... Jibu swali
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Apr 13, 2023 #97 DOMINGO THOMAS said: 1. Barua tuna andika kwa mkono au computer? 2. Barua inakuwa ya kiswahili au Kingereza? Click to expand... Barua zinaandikwa kwa typewriter na carbon copies mbili
DOMINGO THOMAS said: 1. Barua tuna andika kwa mkono au computer? 2. Barua inakuwa ya kiswahili au Kingereza? Click to expand... Barua zinaandikwa kwa typewriter na carbon copies mbili
DOMINGO THOMAS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2023 Posts 368 Reaction score 380 Apr 13, 2023 Thread starter #98 SAIMON EDWARDI said: Kwenye tangazo hawajaandika lugha wala kama ni handwrite au kutype Click to expand... Kwaiyo nini tunafanya..!?
SAIMON EDWARDI said: Kwenye tangazo hawajaandika lugha wala kama ni handwrite au kutype Click to expand... Kwaiyo nini tunafanya..!?
DOMINGO THOMAS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2023 Posts 368 Reaction score 380 Apr 13, 2023 Thread starter #99 senior jobless said: 1: Andika unavyoona inafaa lakini hakikisha umeisaini 2: Lugha ni chaguo lako kiswahili au kiingereza Click to expand... Asante
senior jobless said: 1: Andika unavyoona inafaa lakini hakikisha umeisaini 2: Lugha ni chaguo lako kiswahili au kiingereza Click to expand... Asante
DOMINGO THOMAS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2023 Posts 368 Reaction score 380 Apr 13, 2023 Thread starter #100 Bujibuji Simba Nyamaume said: Barua zinaandikwa kwa typewriter na carbon copies mbili Click to expand... Haya
Bujibuji Simba Nyamaume said: Barua zinaandikwa kwa typewriter na carbon copies mbili Click to expand... Haya