Aandike kwenye CV gani ?
Kumbe kuna watu wageni kabisa kwenye hizi applications halafu wanatoa ushauri kana kwamba wanajuwa sana haya mambo.
Mkuu hakuna sehemu ya kuweka CV usimchanganye atakuja kukuuliza CV hiyo aweke wapi
sasa sijui utamjibuje ?Kuandika kwenye barua hapo sawa. Ila sidhani kama wanasoma kila barua.