Mi nashauri wadau wa ajira hasa unapoomba za Serikali, tuma application zako na learn how to forget about it, maana tabia zao hawa jamaa wanaweza kukaa hadi miezi nane kimya.
waairi huwa wanaahirisha mambo sana mpka tena waone crisis imerudi ndo wakumbuke backups za application files watu wanaanza kukimbia kimbia mara store au kwenye mabox yaliyotupwa huko na huko, nai k siku ya kuripoti kazini unapitishwa juu kwa juu airpot kwenda site bila hata ya kuingia head office kwanza ili kuwahi mambo na ma-deadlines kibao
Ila STAMICO walisema mtapewa majibu kupitia P.O.Box zenu mlizoonyesha kwenye anuani zenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.