Ajira za serikali ni jipu

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,227
6,666
Naomba wana jamvi tujadili uwepo wa watumishi hewa Serikalini, Taasisi zake na Mashirika ya umma. Kilichotokea BOT wakati wa ziara ya kushtukiza Mh Rais na kule NIDA ni fundisho tosha.

Naamini ajira za hovyo hovyo, na upendeleo wa aina zote katika kuajiri ni mojawapo ya usababisho wa hujuma, rushwa na ufisadi. Na ni wengi waliotumbuliwa hadi sasa wasifu wao kwa vyeo walivyokuwa Navyo haukutosheleza.

Ushauri: Wizara ya Utumishi wa Umma urejee sifa za vyeo vya juu na waoanishe na wasifu wa wale wanaovishikilia. Kwa kuanzia ni Wizarani kwenyewe hususani Wakurugenzi na wakuu wa vitengo mbalimbali.

CHAMBUA CHUNGUZA AMUA CHUKUA HATUA
 
baada ya jenister mhagama na lukuvi waende kwa dr mary nagu, kina nchimbi na wakurugenzi mbalimbali kwenye mashirika, kuna majipu yanatisha
 
Back
Top Bottom