Ajira za Professional-JWTZ

Ajira za Professional-JWTZ

ACED

New Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Jamani samahanini enyi rafiki zangu. Nauliza hivi eti nafasi za professional kwa upande wa JWTZ zinatoka lini? Naomba mwenye idea na hii issue anipashe. JKT wanachukua mwisho form six but for degree sifahamu. I need your help anyone please!
 
Jamani samahanini enyi rafiki zangu. Nauliza hivi eti nafasi za professional kwa upande wa JWTZ zinatoka lini? Naomba mwenye idea na hii issue anipashe. JKT wanachukua mwisho form six but for degree sifahamu. I need your help anyone please
Jkt february wanachukua na asikudanganye mtu jeshi sahizi hali ajiru proffessiinal degree mpaka masterz wote wapo na umri wa mwisho kujiunga ni 33...jkt na jwtz ni 35 so jipange mwakani february....kufuatilia nafasi
 
Kaka siku hz lazma upitie JKT hata uwe na elimu kihasi gani,ukipita jkt aaaaah mbona dunia yako kaka
 
Alafu hyo kuhusu elimu za juu jkt hawachukui nani kakwambia acheni kudanganyana
 
Back
Top Bottom