Mohamedi Mtoi R I P Joined Dec 11, 2010 Posts 3,321 Reaction score 6,331 May 31, 2012 #1 Wanabodi. Naomba mwenye list za ajira mpya zilizo tangazwa na nhc. Anisaidie kuweka hapa kwa ajili ya kuanza kusaka magazeti.
Wanabodi. Naomba mwenye list za ajira mpya zilizo tangazwa na nhc. Anisaidie kuweka hapa kwa ajili ya kuanza kusaka magazeti.
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 May 31, 2012 #2 Mohamedi Mtoi said: Wanabodi. Naomba mwenye list za ajira mpya zilizo tangazwa na nhc. Anisaidie kuweka hapa kwa ajili ya kuanza kusaka magazeti. Click to expand... 2subiri bana m2 wangu.
Mohamedi Mtoi said: Wanabodi. Naomba mwenye list za ajira mpya zilizo tangazwa na nhc. Anisaidie kuweka hapa kwa ajili ya kuanza kusaka magazeti. Click to expand... 2subiri bana m2 wangu.
MKANKULE JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 418 Reaction score 94 Jun 1, 2012 #3 tUNAOSAKA AJIRA TUKO WENGI UMESOMEA KITU GANI NGUGU MTOI
panadol JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 349 Reaction score 44 Jun 1, 2012 #4 Jamani mwenye list za ajira nhc tunaomba atuwekee tuzicheki!
panadol JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 349 Reaction score 44 Jun 1, 2012 #5 Mohamedi Mtoi said: Wanabodi. Naomba mwenye list za ajira mpya zilizo tangazwa na nhc. Anisaidie kuweka hapa kwa ajili ya kuanza kusaka magazeti. Click to expand... Mkuu,wewe umeambiwa na nani kama hawa NHC wametangaza ajira?
Mohamedi Mtoi said: Wanabodi. Naomba mwenye list za ajira mpya zilizo tangazwa na nhc. Anisaidie kuweka hapa kwa ajili ya kuanza kusaka magazeti. Click to expand... Mkuu,wewe umeambiwa na nani kama hawa NHC wametangaza ajira?
Edoedward1 JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 795 Reaction score 310 Jun 1, 2012 #6 hiyo list naomba atayeipata aiweke hapa jamen
Babu wa Loliondo JF-Expert Member Joined Jan 31, 2012 Posts 323 Reaction score 106 Jun 1, 2012 #7 Kwa taarifa tu nilizo nazo ajira za NHC mara nyingi hua wanatangaza kupitia website yao,
panadol JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 349 Reaction score 44 Jun 2, 2012 #8 Mm nimecheki kwenye website yao hakuna ajira walizotangaza ndiyo maana nikamuuliza mleta hoja akapata wapi hizo taarifa za ajira!
Mm nimecheki kwenye website yao hakuna ajira walizotangaza ndiyo maana nikamuuliza mleta hoja akapata wapi hizo taarifa za ajira!
MAUBIG JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,040 Reaction score 858 Jun 2, 2012 #9 ukiona hivyo watu washatengewa hizo ajira, we usiyejulikana mtoto wa mkulima wa mihogo bagamoyo ulie tu.
ukiona hivyo watu washatengewa hizo ajira, we usiyejulikana mtoto wa mkulima wa mihogo bagamoyo ulie tu.
MAUBIG JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,040 Reaction score 858 Jun 2, 2012 #10 tehe tehe tehe tehe tehe tehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!, mbavu zangu mie mtoto wa mkulima, nepotism imezidi nchi hii.
tehe tehe tehe tehe tehe tehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!, mbavu zangu mie mtoto wa mkulima, nepotism imezidi nchi hii.
C chitanda.nyoka Senior Member Joined May 3, 2012 Posts 193 Reaction score 44 Jun 9, 2012 #11 Subirini karibu tutangaza
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,980 Jun 11, 2012 #12 mnkankule walitangaza ajira ila hawakutoa kwenye magazeti,walitoa online kwenye website yao mm nimeona siku ya deadline,waliopeleka walikuwa wachache sana, walikuwa wa nahitaji watu wa call centre
mnkankule walitangaza ajira ila hawakutoa kwenye magazeti,walitoa online kwenye website yao mm nimeona siku ya deadline,waliopeleka walikuwa wachache sana, walikuwa wa nahitaji watu wa call centre
chuki JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,715 Reaction score 534 Jun 13, 2012 #14 Vipi Mkurugenzi ni Mchaga?