Ajira za NHC vipi?

Dec 11, 2010
3,321
6,328
Wanabodi.
Naomba mwenye list za ajira mpya zilizo tangazwa na nhc. Anisaidie kuweka hapa kwa ajili ya kuanza kusaka magazeti.
 
Mm nimecheki kwenye website yao hakuna ajira walizotangaza ndiyo maana nikamuuliza mleta hoja akapata wapi hizo taarifa za ajira!
 
ukiona hivyo watu washatengewa hizo ajira, we usiyejulikana mtoto wa mkulima wa mihogo bagamoyo ulie tu.
 
tehe tehe tehe tehe tehe tehe!!!!!!!!!!!!!!!!!!, mbavu zangu mie mtoto wa mkulima, nepotism imezidi nchi hii.
 
mnkankule walitangaza ajira ila hawakutoa kwenye magazeti,walitoa online kwenye website yao mm nimeona siku ya deadline,waliopeleka walikuwa wachache sana, walikuwa wa nahitaji watu wa call centre
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom