hansluvanga
Member
- Apr 18, 2014
- 96
- 27
Wadau naulizia ajira za watu waliosoma irrigation engineering wapi naweza ajiriwa
Mh nashukurSerikalini, viwanda vya sukari. Etc
Mh nashukurKazi zipo tu hata usiwaze Si upo Atc apo? Kuna plantation kubwa wether za serikali au private zinawahitaji mno hata Migodini mnahitaji kwa ajili ya kuondoa Vumbi kwa kumwagilia maji
Kazi zipo tu hata usiwaze Si upo Atc apo? Kuna plantation kubwa wether za serikali au private zinawahitaji mno hata Migodini mnahitaji kwa ajili ya kuondoa Vumbi kwa kumwagilia maji
Ipo na WDMIATC hamna diploma ya irrigation mkuu bali ipo ya Civil and Irrigation,,, diploma ya irrigation ipo MATI-IGURUSI mbeya tu