Niliwahi kufanya interview pale.
Yani mle ndani ni fully CIA na FBI.kwanza mpaka uingie mle ndani kuna sehemu za ukaguzi kama nne hivi.kuna sehemu wanakukagua hadi macho kwa kuona kama uko kwenye orodha ya magaidi wanaowawinda.halafu kwa wenzetu wenye majina ya dini flani flani nadhani pale huwa wanapata tabu sana kupata ajira,maana siku sisi tumeenda tulikua kama kumi hivi hadi wazungu nao walikuwemo ila wakati wa kuverify majina sikusikia jina lenye asili ya hiyo dini kabisa.