Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
Ofisi kama hizo mchujo unaanzia kwenye application process, yaani ku apply kwenyewe tu kunachuja wale wote ambao sio serious, kwa sababu hiyo process ya 2 hours wale waombaji unserious wote maana yake hawataweza kumaliza.Hi niliomba kazi ya office attendant kwenye ilo shirika, aisee hawa watu
[emoji2][emoji2]daa sijawahi kukutana na application ndefu Kama ileOfisi kama hizo mchujo unaanzia kwenye application process, yaani ku apply kwenyewe tu kunachuja wale wote ambao sio serious, kwa sababu hiyo process ya 2 hours wale waombaji unserious wote maana yake hawataweza kumaliza.
Nafahamu wana lipa vizuriHi niliomba kazi ya office attendant kwenye ilo shirika, aisee hawa watu kazi ndogo kama iyo, lakini application yake sio ya nchi hii.
Yaani unatumia like 2hrs kufanya application kupitia kwenye web yao.
Vipi washaita, watu wa usahili.
Na je wakoje Hawa watu, kwenye recruitment.
Aisee, Hivi anafanyia Dar maana nimegoogle naona hawana shughuri nyingi Sana na wapo Sana KigomaNafahamu wana lipa vizuri
Kuna mdada namfahamu ana fany kazi ktk shirika tajwa huyo dada ana enjoy maisha
Wana ofisi daslaam ila wana project nyinhi kigoma, tabora huko zaman walikuwa wana itwa BTCAisee, Hivi anafanyia Dar maana nimegoogle naona hawana shughuri nyingi Sana na wapo Sana Kigoma
Mara nyingi mashirika ya mabeberu,, uwa wanalipa sanaHi niliomba kazi ya office attendant kwenye ilo shirika, aisee hawa watu kazi ndogo kama iyo, lakini application yake sio ya nchi hii.
Yaani unatumia like 2hrs kufanya application kupitia kwenye web yao.
Vipi washaita, watu wa usahili.
Na je wakoje Hawa watu, kwenye recruitment.
Sio woteMara nyingi mashirika ya mabeberu,, uwa wanalipa sana
Haaaa Ni Kama za TamisemiHi niliomba kazi ya office attendant kwenye ilo shirika, aisee hawa watu kazi ndogo kama iyo, lakini application yake sio ya nchi hii.
Yaani unatumia like 2hrs kufanya application kupitia kwenye web yao.
Vipi washaita, watu wa usahili.
Na je wakoje Hawa watu, kwenye recruitment.
Tonsstina MtoleNafahamu wana lipa vizuri
Kuna mdada namfahamu ana fany kazi ktk shirika tajwa huyo dada ana enjoy maisha
Daaa yaani sifa ilikuwa form f four tu, lakini application yake,kwa graduate wa kidato Cha nne hawezi tobooahao hawana tofauti na us embassy yaani kuapply tu unaweza kata tamaa na ukaishia njiani
CIA wanalinda, lakini wabongo wanafanya kazi za Secretary, usafi,na ulinzi piaus embassy mlinzi anakula milioni 3 kabla etra duty pay.. nahisi walinzi wengi pale sio watanzania..mbona sjawahi waona huku mtaani wanapokuja kuishi baada ya muda wa kazi.
Naomba namba yake nimtongozeNafahamu wana lipa vizuri
Kuna mdada namfahamu ana fany kazi ktk shirika tajwa huyo dada ana enjoy maisha
Ili ule tunda kimasiharaNaomba namba yake nimtongoze
Ndiyo kilicho bakiIli ule tunda kimasihara
Chakata mbususu yenye helaNdiyo kilicho baki