NOVEMBAWakuu habari za leo? Kwa anayefahamu zile ajira za afya tulizoomba mwezi uliopita hivi ni lini watatoa majibu?
Dah hayo majibu yameshatoka au bado mpaka leo!?Wakuu habari za leo? Kwa anayefahamu zile ajira za afya tulizoomba mwezi uliopita hivi ni lini watatoa majibu?
wametoa leo mkuuWakuu habari za leo? Kwa anayefahamu zile ajira za afya tulizoomba mwezi uliopita hivi ni lini watatoa majibu?
Kwa nnIv huwa wanazngatia nn izi ajira
Vp kichwa kimekatwa?Iv huwa wanazngatia nn izi ajira