SYENDEKE
Senior Member
- Jul 18, 2011
- 169
- 26
Kampuni ya Ukandarasi wa Barabara na Majengo ya HASAF COMPANY LIMITED iliyopo Makete Mjini, mkoa wa Njombe.
Inatangaza nafasi ya Fundi sanifu wa barabara (1)
SIFA ZA MUOMBAJI
i. Awe ni Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 50.
ii. Awe amehitimu kidato cha IV au cha VI.
iii. Awe amepitia na kufuzu mafunzo ya miaka (3) na kutunukiwa cheti cha ufundi Sanifu (Full Technician Certificate-FTC) au Stashahada ya Kawaida (NTA Level 6) katika fani ya (Civil) kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali.
iv. Awe tayari kufanya kazi wilaya ya Makete, Mkoa wa Njombe.
v. Ajira ni mkataba miezi 6 ya kwanza (itaongezwa baada ya utendaji wake).
vi. Awe na uzoefu wa kusimamia kazi za barabara angalau miaka 2/3
vii. Ngazi ya mshahara (Kwa mujibu wa viwango vya kampuni)
UTARATIBU WA KUWASILISHA MAOMBI Barua ya maombi iwasilishwe ikiwa nakala za cheti cha kuzaliwa, cheti cha kumaliza kidato cha nne, sita au stashahada yawasilishwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji,
Hasaf Co. Ltd,
S.L.P 146, Makete.
Au barua pepe info@hasaf.co.tz, hasaf203@gmail.com, faabroz@gmail.com
Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 24/10/2018
Piga simu kwa ufafanuzi zaidi 0767 815 994, 0782 815 994 -QS. Fungo Alex