Ajira za walimu zimetangazwa, pamoja na mahitaji kuwa ni makubwa bado wahitimu wengi hawajapata ajira hizo. Kwa nini tunalalama upungufu wa walimu wakati tuna wahitimu wengi tu?
1.Majengo na vitendea kazi vya kutosha.
2.Lipa waalimu vizuri ili upate waalimu wazuri.
3.Rahisisha au ondoa kabisa gharama za ujifunzaji na ufundishaji.
3.motivate waalimu na wanafunzi wanao fanya vizuri.
4.usimamizi wenye kuzingatia maadili ya kazi na si vinginevyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.