M Mwendamsakafu Member Joined Aug 28, 2013 Posts 38 Reaction score 4 Mar 8, 2014 #1 jaman ss wahanga wa ajira mbona wizara ya elim ime2sahau san au hawajui mchngo we2 ktka nchi hii, mwnye update 2julshane
jaman ss wahanga wa ajira mbona wizara ya elim ime2sahau san au hawajui mchngo we2 ktka nchi hii, mwnye update 2julshane
G Goma Son Senior Member Joined Mar 6, 2014 Posts 161 Reaction score 39 Mar 8, 2014 #2 Mwendamsakafu said: jaman ss wahanga wa ajira mbona wizara ya elim ime2sahau san au hawajui mchngo we2 ktka nchi hii, mwnye update 2julshane Click to expand... kufikia wiki ijayo ndo tutajua ukweli wa kauli ya majaliwa..
Mwendamsakafu said: jaman ss wahanga wa ajira mbona wizara ya elim ime2sahau san au hawajui mchngo we2 ktka nchi hii, mwnye update 2julshane Click to expand... kufikia wiki ijayo ndo tutajua ukweli wa kauli ya majaliwa..
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,931 Reaction score 2,141 Mar 8, 2014 #3 Nmezimiss sredi za namna hii, zilishamiri sana mwezi wa kwanza na wa pili, mkuu watu wanasubiri katikati ya mwezi huu ndio maana hawaulizi mara kwa mara kama miezi iliyopita. Ukiona wiki ijayo kimya basi anza michakato mingine.
Nmezimiss sredi za namna hii, zilishamiri sana mwezi wa kwanza na wa pili, mkuu watu wanasubiri katikati ya mwezi huu ndio maana hawaulizi mara kwa mara kama miezi iliyopita. Ukiona wiki ijayo kimya basi anza michakato mingine.
MUFINDI BOY JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 241 Reaction score 59 Mar 8, 2014 #4 2shaambiwa mwezi huu katikati, haileti maana kuuliza ajira leo kama vipi huu uzi utoke tu leo siyo muda muafaka.
2shaambiwa mwezi huu katikati, haileti maana kuuliza ajira leo kama vipi huu uzi utoke tu leo siyo muda muafaka.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Mar 8, 2014 #5 Mwendamsakafu said: jaman ss wahanga wa ajira mbona wizara ya elim ime2sahau san au hawajui mchngo we2 ktka nchi hii, mwnye update 2julshane Click to expand... kama wewe ni mwalimu mtarajiwa na unaandika hvo,nawapa pole sana vijana wetu watakaopitia mikonon mwako!
Mwendamsakafu said: jaman ss wahanga wa ajira mbona wizara ya elim ime2sahau san au hawajui mchngo we2 ktka nchi hii, mwnye update 2julshane Click to expand... kama wewe ni mwalimu mtarajiwa na unaandika hvo,nawapa pole sana vijana wetu watakaopitia mikonon mwako!
O ODILI SAMALU JF-Expert Member Joined Dec 13, 2013 Posts 1,369 Reaction score 489 Mar 8, 2014 #6 Mwendamsakafu said: jaman ss wahanga wa ajira mbona wizara ya elim ime2sahau san au hawajui mchngo we2 ktka nchi hii, mwnye update 2julshane Click to expand... Na wewe ni mwalimu
Mwendamsakafu said: jaman ss wahanga wa ajira mbona wizara ya elim ime2sahau san au hawajui mchngo we2 ktka nchi hii, mwnye update 2julshane Click to expand... Na wewe ni mwalimu
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,784 Reaction score 6,178 Mar 8, 2014 #7 ODILI SAMALU said: Na wewe ni mwalimu Click to expand... wapi chief nanga?
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Mar 8, 2014 #8 Mwendamsakafu said: jaman ss wahanga wa ajira mbona wizara ya elim ime2sahau san au hawajui mchngo we2 ktka nchi hii, mwnye update 2julshane Click to expand... Kwa uandishi huu kama na wewe ni mwalimu, basi tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria. Great GOD forbid.
Mwendamsakafu said: jaman ss wahanga wa ajira mbona wizara ya elim ime2sahau san au hawajui mchngo we2 ktka nchi hii, mwnye update 2julshane Click to expand... Kwa uandishi huu kama na wewe ni mwalimu, basi tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria. Great GOD forbid.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Mar 8, 2014 #9 Baba V said: Kwa uandishi huu kama na wewe ni mwalimu, basi tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria. Great GOD forbid. Click to expand... kweli mkuu,tunaweza tukawa tunawalaumu wanafunzi bure,lakini kumbe tatizo liko kwa walimu.
Baba V said: Kwa uandishi huu kama na wewe ni mwalimu, basi tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria. Great GOD forbid. Click to expand... kweli mkuu,tunaweza tukawa tunawalaumu wanafunzi bure,lakini kumbe tatizo liko kwa walimu.
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Mar 8, 2014 #10 allan clement said: wapi chief nanga? Click to expand... heheee! Wapi margareth nanga!!!
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Mar 8, 2014 #11 Perry said: kweli mkuu,tunaweza tukawa tunawalaumu wanafunzi bure,lakini kumbe tatizo liko kwa walimu. Click to expand... Kama tu mwalimu "fresh from college" anathubutu kuandika upuuzi wa namna hii..,I fear for my country.
Perry said: kweli mkuu,tunaweza tukawa tunawalaumu wanafunzi bure,lakini kumbe tatizo liko kwa walimu. Click to expand... Kama tu mwalimu "fresh from college" anathubutu kuandika upuuzi wa namna hii..,I fear for my country.
masatujr1985 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2011 Posts 1,980 Reaction score 788 Mar 8, 2014 #12 Perry said: kama wewe ni mwalimu mtarajiwa na unaandika hvo,nawapa pole sana vijana wetu watakaopitia mikonon mwako! Click to expand... Tofauti ya uandishi wake na wako Ni ipi? HVO, MIKONON ndivyo ulivyofundishwa kuandika lugha fasaha? Kifimbocheza asingekuacha wewe!!!
Perry said: kama wewe ni mwalimu mtarajiwa na unaandika hvo,nawapa pole sana vijana wetu watakaopitia mikonon mwako! Click to expand... Tofauti ya uandishi wake na wako Ni ipi? HVO, MIKONON ndivyo ulivyofundishwa kuandika lugha fasaha? Kifimbocheza asingekuacha wewe!!!
Makuku Rey JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 3,638 Reaction score 4,183 Mar 8, 2014 #13 Perry said: kama wewe ni mwalimu mtarajiwa na unaandika hvo,nawapa pole sana vijana wetu watakaopitia mikonon mwako! Click to expand... TAperry unakosoa vitu ambavyo hata we huvijui!. mikonon,hvo, khaaa!
Perry said: kama wewe ni mwalimu mtarajiwa na unaandika hvo,nawapa pole sana vijana wetu watakaopitia mikonon mwako! Click to expand... TAperry unakosoa vitu ambavyo hata we huvijui!. mikonon,hvo, khaaa!
MUFINDI BOY JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 241 Reaction score 59 Mar 9, 2014 #15 Jampa said: Mwaka huu hakuna ajira! Click to expand... Avatar yako tu inaonesha huwezi andika something knowledgable...
Jampa said: Mwaka huu hakuna ajira! Click to expand... Avatar yako tu inaonesha huwezi andika something knowledgable...
G Goma Son Senior Member Joined Mar 6, 2014 Posts 161 Reaction score 39 Mar 9, 2014 #16 Jampa said: Mwaka huu hakuna ajira! Click to expand... we kama nani?...nenda kadeki ofisi ya bosi wako kwanza ndo uje kuchangia uku....mfyuuuuuuuu! ...
Jampa said: Mwaka huu hakuna ajira! Click to expand... we kama nani?...nenda kadeki ofisi ya bosi wako kwanza ndo uje kuchangia uku....mfyuuuuuuuu! ...
G Goma Son Senior Member Joined Mar 6, 2014 Posts 161 Reaction score 39 Mar 9, 2014 #17 Makuku Rey said: TAperry unakosoa vitu ambavyo hata we huvijui!. mikonon,hvo, khaaa! Click to expand... ndugu makuku rey habar yako!..
Makuku Rey said: TAperry unakosoa vitu ambavyo hata we huvijui!. mikonon,hvo, khaaa! Click to expand... ndugu makuku rey habar yako!..
S shekulumkende Member Joined Aug 6, 2013 Posts 50 Reaction score 12 Mar 9, 2014 #18 Tuvute subira walimu wenzangu kuanzia tar 15 ajira zitakuwa hewani