Ajira Twiga Cement

masaumbe

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
42
Reaction score
11
Habari za Jioni Wadau,Hivi Ajira Twiga Cement wanatakaga watu aina gani? Vijana wangu kibao wanaangukia pua especially wale katika Finance or Accounting,DFA amekuwa kikwazo sana Pale,Wadau waliofanikiwa na wako Twiga Cement Accounting department,mlipitaje kwa Asare?Natanguliza Shukrani
 
Mkuu tanzania ione hivi hivi...
Ukiritimba wa nafasi za kazi ulioko serikalini umehamia na kwenye mashirika binafsi hasa makubwa. Nimewahi kuongea na mtu mmoja anayefanya kazi kwenye kampuni binafsi .(kubwa kiasi) akaniambia huwa wanapata vimemo kila baada ya muda fulani kutoka kwa vigogo wa serikali wakiulizia nafasi..za kazi.na wanaahidi. Vigogo hawa ni wale waliokuwa associated na huduma za hiyo kampuni.hii ina maana asipowafikiria watamkwamisha kwenye baadhi ya shughuli za kampuni. Nahisi hii ndio trend hasa kwa makampuni makubwa..na ndo tz yetu.
 
Duh kumbe hali mbaya sana huko,oh my tansania.
 
mkuu sitokuja tena kuomba kazi huku kwa waliyotufanyia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…