spyboss
Member
- Nov 30, 2015
- 45
- 69
Mnamo June 2015, Tanzania Revenue Authority ilitangaza nafasi za ajira. Kazi ambazo zilitangazwa ni pamoja na Research Officer, Senior Research Officer, Principal Reserch Officer pamoja na Statistician. Naomba kujuzwa mchakato wa hizi ajira umefikia wapi kwa wenye taarifa. Asante