benja JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 331 Reaction score 230 Jan 10, 2013 #1 Wadau nauliza nafasi za kazi walizotoa TRA ambapo application zilikua online vp kuna mwenye taarifa kuhusu interview????vp Ewura nao walishaajiri ama?
Wadau nauliza nafasi za kazi walizotoa TRA ambapo application zilikua online vp kuna mwenye taarifa kuhusu interview????vp Ewura nao walishaajiri ama?
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,984 Jan 10, 2013 #2 kwanza kabla ya kukupa jibu,naomba unijuze umeajiriwa?alafu nitakupa maelezo mengine zaidi?
N Nyamwaga JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 454 Reaction score 118 Jan 10, 2013 #3 Mi ninavyo fahamu Tra kupata kazi mpaka uwe unatokea mkoani Kilimanjaro
benja JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 331 Reaction score 230 Jan 10, 2013 Thread starter #4 JF sijaajiriwa ila nilimaliza chuo 3 yrs back nina biashara zangu ila nina ndoto ya kufanya huko tra one day
JF sijaajiriwa ila nilimaliza chuo 3 yrs back nina biashara zangu ila nina ndoto ya kufanya huko tra one day
consigliori JF-Expert Member Joined Mar 29, 2010 Posts 392 Reaction score 90 Jan 11, 2013 #5 benja said: JF sijaajiriwa ila nilimaliza chuo 3 yrs back nina biashara zangu ila nina ndoto ya kufanya huko tra one day Click to expand... Mmmhhh, kazi ipo!
benja said: JF sijaajiriwa ila nilimaliza chuo 3 yrs back nina biashara zangu ila nina ndoto ya kufanya huko tra one day Click to expand... Mmmhhh, kazi ipo!
M Mpendwa_Ellie Member Joined Jul 8, 2012 Posts 6 Reaction score 1 Jan 13, 2013 #6 Una m2 wa kukushika mkono wee mtoto wa mkulima? Kama huna sahau habari ya ajira za TRA, EWURA na BOT!!!! Endelea na na jidhatiti kwenye :target:biashara zako ili uongeze mtaji utakaosaidia kuwakomboa watoto wako na familia yako!!!
Una m2 wa kukushika mkono wee mtoto wa mkulima? Kama huna sahau habari ya ajira za TRA, EWURA na BOT!!!! Endelea na na jidhatiti kwenye :target:biashara zako ili uongeze mtaji utakaosaidia kuwakomboa watoto wako na familia yako!!!
B ben van mike JF-Expert Member Joined Aug 27, 2010 Posts 467 Reaction score 190 Jan 13, 2013 #7 hahaha wadau mnaua acheni kumvunja moyo jamaaa