Ajira Serikalini zitafunguliwa lini?

Mmh mwaka huu noma,tunapoelekea waajiriwa wa ualimu nao watachukuliwa kwa gpa tena ile ya 3.5itakuwaje msala wa kuachwa walimu wengi kitaa,na hii jambajamba ya wLimu wa sanaa kutosha ndo tishio,by ze way me naona ajira January maana hilo swala la kuhama kwenda idodomia nalo linaharibu budget,da tulimchagua kwa upendo wa dhati bt now joto la hasira
 
Sasa January ndo kuhama kutakua kumekamilika?
 

Yaani ndugu nami niliwazaga hivo kama wewe. Mungu ni mwema.
 
Si bora yko 2015 ulikuwa wa neema coz walimu walichukuliwa wote,ssasa mwaka huu ni sheeda na mjeda wetu,wwlimu wa arts wataachwa kitaa wengi na wakisema waangalie gpa itakuwa hatare endapo wataanza na gpa 3.5wengi watasigua kitaa bora wase 3.0maana kwa wale wa dip hadi kuipata 3.5 ni inshu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…