Wait,mpaka 9 mara baada ya zoezi la uhakiki wa vyeti likamilike mwezi huu.Nawasalimu ndugu zangu.kumekua na matamko mbalimbali juu ya swala la ajira hatimaye raisi akafunga milango mwezi na nusu umeisha ivo..." Haitazidi miezi miwili" lakini mara issue ya vyeti feki inaibuka napata shaka sana juu ya ili mwenye kuelewa juu ya hili tafadhari maana upotoshaji umeenea ...
Wanashindwa nini kuajiri na kuendelea na zoezi hilo, kwanini zoezi liibuke mwishoni mwa tamko la rais?Wait,mpaka 9 mara baada ya zoezi la uhakiki wa vyeti likamilike mwezi huu.
UKO SAHIHI KABISAAAAA,,,TUNAHAKIKIK,,,TUNAHAKIKI,,,UWONGO TUHawana hela hizo sababu ni kutuzuga tu