Ajira serikalini zimetangazwa, vijana zingatieni haya

Wasalamu ndugu,Bungeni Leo wamesema kibali Cha Ajira kimetoka.

Nawashauri vijana ambao mnategemea kuomba hasa zile za kuaaply mfanye maandalizi mapema.

1.Vyeti vyako visiwe mbali na wewe
2.Simu yako isikose bando
3.Line yako uliyoijaza kwenye CV yako iwe hewani mda wote
4.Wasiliana na mliomaliza nao wakupe A,B,C
5.Kaa maeneo yenye access ya kupata taarifa muhimu(Be updated)
6.Muombe Muumba wako mana Kuna stiff competition.

Wengine watakuja na ushauri pia.

Karibuni
Bila kusahau kadi ya The Green Mambas!
 
Asante kwa content still tunasubir
 
MGANGA wa kienyeji mshirikishe
 
Hapa mtoa mada una maanisha ni ajira za sector ipi sasa wanataka kutoa..?
 
Back
Top Bottom