Richard Kasubi
Member
- Sep 16, 2018
- 92
- 70
Huwa haibadiliki.Status baada ya oral huwa inabadilika muda gani baada ya kufanya oral interview
Huwa haibadiliki.Status baada ya oral huwa inabadilika muda gani baada ya kufanya oral interview
Nadhani kila aliyefanya oral regardless ya amefaulu au hajafaulu huwa inasoma selected for oral interviewUkiitwa Written ukapata Pass Marks za kwenda Oral status ina change itasoma " SELECTED FOR ORAL" ukifanya oral then status ikabakii "SELECTED FOR ORAL" uwezekano wa kuwa umefaulu oral ni mkubwa, na itabaki hivyoo hadi siku utakayo report kwenye kituo chako cha kazi.
Ahsante.