Jaman naomba msaada nimepata changamoto ajira portal
Kwenye academic Qualification Kuna cheti nimekosea kuattach ila komesaviwa Sasa kinaonekana kwenye saved academic Qualification ,nataka kukitoa ila hakuna option ya delete ,Kuna edit na view.
Nifanye nini ili kudelete?