Ajira portal

braity

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2020
Posts
432
Reaction score
609
Habari wanajamvi wa jukwaa hili la Elimu ambalo watu wana view thread na kupita kushoto bila hata kutoa ushauri kwa kuwa si masuala yanayohusiana na ngono[emoji74][emoji74].

Naomba msaada wanajamvi hivi hizi ajira zinazotolewa katika App ya Ajira portal ni za Ukweli au Michongo? Na je kuna mtu ameshawahi kupata ajira mwenye ushahidi kupitia hii app ya ajira porta?

Mnao lijua hili naombeni mnisaidie msisome na kulala mbele wapendwa mawazo yenu yanajenga sana ili mtu asije akatapeliwa[emoji120][emoji120]
 


Kazi Zinapatikana Ila huo mchakato wake ndo kipengele, kuanzia system ya kuapply hadi katika harakati za interview
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…