Google PSRS Tanzania, ingia kwenye home page yao, tafuta Recruitment Portal ingia halafu anza kwa kujisajili baada ya hapo utaingia na kujaza kwa hatua kutokana na Maelezo yaliyopo..,Habari za midaa hii
Naitaji kujiunga na ajira portal
Kwa yeyote anae fahamu anijuze