Ajira Portal-Foreign Service Officers 2

Dogo12

Senior Member
Joined
Oct 5, 2022
Posts
119
Reaction score
230
Habari wakuu...jana usiku ajira portal walipost kazi za foreign service officer lakini leo asubuhi wakazitoa ghafla kulikoni?
 
Habari wakuu...jana usiku ajira portal walipost kazi za foreign service officer lakini leo asubuhi wakazitoa ghafla kulikoni?
Wamewapa watt wa wakubwa. Hakuna kazi za ubalozi zilizo nchi za nje zimeshawahi tangazwa , yaani zinapewaga kwa watt ambao baba zao wameshawahi shika MADARAKA makubwa nchi hii
 
Labda Wakenya wamefanya yao....

Note: Hizo kazi mtoto wa mkulima kuzipata sahau...

 
Mbona zipo naziona saivi. 8 post. Dah it has been my dream kufanya w y’a mambo y’a nje. Ila ndo mtoto wa mkulima mimi😢
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…