Huyo analiwa na funza tayariNendeni vijana Hamza anawasubiri
Hili kama limetoka kwao kazi kweli kweliAJILA???
Hawako serious na maishaHili kama limetoka kwao kazi kweli kweli
Mkuu si umeona sifa ni division 4?AJILA???
Hahahaha! Hawataki wale wa kujiendeleza kimasomo,hivyo hizo four za 29 hadi 32 hazinaga appetite ya kusoma kufikia kiwango flani cha elimu, nadhani hii itakuwa msaada mkubwa kwa jeshi kuwa na nguvu kazi muda mrefu.akili zangu zinavyonituma lkn kama sijafikiria vibayaMkuu si umeona sifa ni division 4?
Hili tangazo limeandikwa na kilaza ....
NimeonaMkuu si umeona sifa ni division 4?
Unakaa wilaya gani?Wanasema kuomba peleka maombi yako kwa kamanda wa polisi wa mkoa uliopo. Sasa nashindwa kuelewa kamanda wa polisi ndo wapi? Hasa kwa hapa dar.
Na uandike barua kwa mkono.... 🤣Wanasema kuomba peleka maombi yako kwa kamanda wa polisi wa mkoa uliopo. Sasa nashindwa kuelewa kamanda wa polisi ndo wapi? Hasa kwa hapa dar.
Don Vito.. Habali yako?Unakaa wilaya gani?