Ajira pkf

Ajira pkf

masaumbe

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
42
Reaction score
11
Habari ndugu zangu,naomba kujuzwa interview za PKF zikoje?Mshahara je kwa assistant Auditor ikoje?
 
wewe uliepost 1.5 sio figure ya kweli....nimefanya interview pkf and niko final stages kuanza......salary ni super low....nimesoma fresh and nearly namalizia cpa but wale ni wahindi so mtu mweusi kiroho safi wanakukandamiza and ajira ni ngumu so unakausha unakubali kutengeneza CV...
 
Hata wewe ambaye unamalizia interview usiende...si sehemu ya kwenda..usiposikia usilaumu.
 
sasa nsipoenda niangalie cartoon network au vip ndugu prisoner?experience ikiwa zero inakua stumbling block....
 
sasa nsipoenda niangalie cartoon network au vip ndugu prisoner?experience ikiwa zero inakua stumbling block....

Ubaya wa kazi ukishaipata muda wa kufukuzia ingine unakuwa ushapungua sana....hao jamaa nawajua vizuri...wanatafuta watu kwa sababu wanaoajiriwa hawakai
 
Nenda kijana, hata kama wakikupa 1m kwa kuanzia sio mbaya,,

Utajifunza vitu vingi sana kutoka kwa mwajiri wa kwanza especially ikiwa ni proffessional company
 
Interview we soma ISA,IAS, uzimeze vyakutosha na ujue procedure za audting, kifup wana uliza maswal ya kiprofessional zaid
 
Nenda kagae gae na upwa.
Wahenga walisemaga mgaa gaa na upwa hali wali mkavu.
Huwezi jua katika kugaa gaa kwako waweza pata kitu murua.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom