Ajira mwalimu wa kiswahili

Ajira mwalimu wa kiswahili

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,728
Reaction score
4,172
Kuna wanyarwanda wanatafuta mwalimu wa kiswahili wapo wawili muda wa kufundisha ni kuanzia sana 12 jioni mpaka saa 2 usiku piga namba 0754415542 bei maelewano
 
Kuna wanyarWanda wanatafuta mwalimu wa kiswahili SWAPO wawili Muda wa kufundisha ni kuanzia sana 12 jioni mpaka saa 2 usiku piga namba 0754415542 bei maeleWano
Sio haramu hao maana huku sinza wapo warudi wamejifungia ndani masaa 24 sijui kwa nni
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Hii Ya Kusomeshwa usiku usiku inatia Mashaka.... Mwalimu asijekamatwa Kwa Kuficha Wahamiaji Haramu....
 
Nini dhumuni la wao kujifunza kiswahili..?
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Wanaongea lugha gani Hao. Maana lazima mwalimu azungumze lugha 2 hapo, but Kama Wanaongea English. Please hio job itanifaa sana. 0767328063
 
Back
Top Bottom