LTN USU WA MADOSO
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,193
- 859
Wakuu wa jf
Kwa wale ambao ajira zao zilisitishwa kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wawasiliane na maafisa utumishi wao....Mimi leo nimeenda kwa hr wangu na tayari nimerudishwa kwenye system na tarehe 30 septemba naripoti kazini
KADA GANI WALIOANZA KUITA MBONA HUSEMI??Wakuu ninachosema ndo nilicho na uhakika nacho....kwenye system naonekana sasa nipo FULL TIME....huwa sileti taarifa za uzushi na ndo maana nkajiongelea mimi
kada yako mkuu, wanaita tar 26 j3KADA GANI WALIOANZA KUITA MBONA HUSEMI??
acha kukariri ww hilo tangazo lilikuwa linahusu ajira mpya gozi nyeusi bwana mbaya sana kuelewakada yako mkuu, wanaita tar 26 j3
ndo pamoja na ajira yako mkuuacha kukariri ww hilo tangazo lilikuwa linahusu ajira mpya gozi nyeusi bwana mbaya sana kuelewa
think outsi
ndo pamoja na ajira yako mkuu