Ajira mpya zilizositishwa

Ajira mpya zilizositishwa

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Wakuu wa jf
Kwa wale ambao ajira zao zilisitishwa kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wawasiliane na maafisa utumishi wao....Mimi leo nimeenda kwa hr wangu na tayari nimerudishwa kwenye system na tarehe 30 septemba naripoti kazini
 
Thanks for info kiongozi
 
Wakuu wa jf
Kwa wale ambao ajira zao zilisitishwa kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wawasiliane na maafisa utumishi wao....Mimi leo nimeenda kwa hr wangu na tayari nimerudishwa kwenye system na tarehe 30 septemba naripoti kazini
ULIKUWA KANDA GANI MKUU ??
 
Wakuu wa jf
Kwa wale ambao ajira zao zilisitishwa kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wawasiliane na maafisa utumishi wao....Mimi leo nimeenda kwa hr wangu na tayari nimerudishwa kwenye system na tarehe 30 septemba naripoti kazini
ULIKUWA MAHAKAMA AU HALMASHAURI??
 
Wakuu wa jf
Kwa wale ambao ajira zao zilisitishwa kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wawasiliane na maafisa utumishi wao....Mimi leo nimeenda kwa hr wangu na tayari nimerudishwa kwenye system na tarehe 30 septemba naripoti kazini
Hii habari ni ya kweli?
 
sasa siwatoe tangazo officially kabisa mbona kuitana kimya kimya tena?
 
Vipi kuna tetesi zozote kwa ajili ya wale wanaosubir kupata ajira?
 
Kaka toa information kamili,unaturusha roho,,hii habari ina ukweli??
 
Wakuu wa jf
Kwa wale ambao ajira zao zilisitishwa kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi hewa wawasiliane na maafisa utumishi wao....Mimi leo nimeenda kwa hr wangu na tayari nimerudishwa kwenye system na tarehe 30 septemba naripoti kazini
Hyoooo y kwel au uwe na uhakik unachokisema
 
kwenye system utarudi lakini kuingia kwenye mshahara/payroll utasubiri kibali cha Rais
 
Wakuu ninachosema ndo nilicho na uhakika nacho....kwenye system naonekana sasa nipo FULL TIME....huwa sileti taarifa za uzushi na ndo maana nkajiongelea mimi
 
Sawa posho city kwa taarifa ila tupo wengi why wasitoe taarifa kamili kuliko wote tuwa tafute hao ma hr
 
Wakuu ninachosema ndo nilicho na uhakika nacho....kwenye system naonekana sasa nipo FULL TIME....huwa sileti taarifa za uzushi na ndo maana nkajiongelea mimi
Screenshot_2016-09-21-14-23-30.png
 
Back
Top Bottom