ajira mpya za walimu 2013-2014

ajira mpya za walimu 2013-2014

allan clement ajira ni mwezi wa pili (wa korogwe ryt)
 
Acheni ujinga, wewe msomi mzima unakaa kusubiri kuajiriwa. Kuweni wabunifu ili kujiingizia kipato!
 
Nadhani we utakuwa umepita Ifunda Sec @SN BARRY. Wakati Ifunda mi ndo home mkuu, na mto lyandembela nimetumia katika kumwagilia bustani za nyumbani. Enzi hizo
 
Acheni ujinga, wewe msomi mzima unakaa kusubiri kuajiriwa. Kuweni wabunifu ili kujiingizia kipato!

Nani kakuambia msomi haajiriwi? hebu fikiri vizuri...si wote wana lengo la kutafuta pesa kama unavyofikiri, mwingine anapenda profession yeke tu, hata akilipwa sh. laki 1 kwa mwezi.
 
mfano halisi ni mimi! sijasomea ualimu eti kwa kuwa nilikosa mishe zingine.. nilifanya vizuri tu o level na a-level..
 
Nani asiyetaka ajira nyie acheni maneno ya kujikweza.hiyo biashara utaifanya kwa mtaji upi wakati hata boom ulikua unatuma nyumbani kulea ndugu zako.waache waalimu waulizie ajira zao.kama haikuhusu piga kimya.
 
Katibu mkuu mweny dhamana ya ajira za walim anaxema,mwezi Agosti,2014 na kwa kuomb!Matcha acheni domant mind 2mien furs
 
october vp wakati graduation december mshaanza vinyulinyuli vyenu
 
Back
Top Bottom