Ajira mpya za afya 2016/2017

Ajira mpya za afya 2016/2017

noel mahenge

Member
Joined
Jun 1, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Usaidizi kidogo wada iv hizi ajira mpya za afya inakuaje kwA tuliomali za mwaka jana mana asili mia kubwa vyeti havijatoka ivo tutafanya vipi apllication
d3bee106b912b28b33d3c7e968c27834.jpg
19e09e9b0e0bc66300af228185087160.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia Transcript, kama nayo huna basi subiri wkt mwingine coz huna sifa. Maana kukosa Transcrpt obvious hata leseni/chet cha usajili hutokua nacho

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahan mkuu mm nipo nje ya mada kidogo hv kama vyeti bado hazijatoka na unataka kuomba nafasi za jkt so unaweza kutumia hata hy transcrpt na ukakubaliwa hata kama bado vyt havijatoka .
 
Samahan mkuu mm nipo nje ya mada kidogo hv kama vyeti bado hazijatoka na unataka kuomba nafasi za jkt so unaweza kutumia hata hy transcrpt na ukakubaliwa hata kama bado vyt havijatoka .

Jkt hata ukiwa na cheti cha primary, 4m4 na 4m6 wanakuchukua ila ule wakat JWTZ wakianza kutoa ajira ndo upeleke cheti
 
Kwani mliomaloza mwaka jana mmemaliza internship? Mtaombaje sasa na license of practice Hanna,au mimi ndio sijaelewa
 
Jamani tumetuma barua na cv zetu mbona wamekaa kimya hadi leo kulikoni.... Watatoa lini majina ya walipata hizo kazi??!
 
Sawa basi watoe majina ya watu waliochaguliwa kwaajili ya usahili braza.... Bt sidhani kama zitakuwa na usahili hizo ajira zao
Hizi ajira hazinaga usaili hua ni post za moja kwa moja..sema sijui ilikua ni changa la macho tu..ngoja tuwasikilizie.
 
Hizi ajira hazinaga usaili hua ni post za moja kwa moja..sema sijui ilikua ni changa la macho tu..ngoja tuwasikilizie.
Na hivyo ndivyo ninavyofahamu mimi.... Ngoja tuone mwisho wake
 
Back
Top Bottom