Ajira mpya ya walimu 2012/3013

Ajira mpya ya walimu 2012/3013

Masterproud

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2012
Posts
441
Reaction score
118
Wadau nimepata taarifa hivi punde lakini nimeshindwa kuzithibitisha juu ya ajira mpya aa walimu. Nimepitia mtandao wa Wizara ya Elimu wenyewe unasema "This website is suspended...." Naomba mwenye taarifa za ukweli juu ya hili atujuze. Kama kunalink tofauti basi atusaidie pia. Kuna ndugu yng muda wote anasumbua, pia naamini wapo wengi wanaohitaji kuthibitisha.
 
Endeleeni kuvumilia au muwe mnaendesha bodaboda.........ajira bado hakuna fedha kwa sasa. Meneo mengi hapa nchini kutokana na umaskini Wanavijiji wameshindwa kujenga madarasa hasa yale ya kata....hivyo wanafunzi mnaotakiwa kuwafundisha hawana pa kusomea. Pia Yale yaliyokuwa tayari serikali imeshindwa kuyamalizia.....yamenyeshewa na mvua yamebomoka tena. Nadhani ajira ni mpaka April this year...... kwa ushauri anza biashara ya mazao kama mimi, Nafuata maharage izimbya naleta Bukoba mjini. Izimbya kilo Tsh 600/= Bukoba nauza 1000/= mianne mianne kila kilo.....nina uwezo wa kula mkia bambooo
 
Tegemea mwezi huu, kila kitu kitakua sawia. Ila ndg hakikisha unatengeneza kitu kinachoitwa "intellectual versatility".
 
Wewe kweli ni mwalimu wa maajabu! Umepata taarifa gani ukashindwa kuzithibitisha?
Ajira mpya zimefanya nini?

Nashindwa kukuelewa kuwa ulifungua huu uzi kuwajuza watu kuhusu website hiyo au kuhusu ajira mpya?

Ulifungua uzi huu kuwajuza au kuuliza?

Wadau nimepata taarifa hivi punde lakini nimeshindwa kuzithibitisha juu ya ajira mpya aa walimu. Nimepitia mtandao wa Wizara ya Elimu wenyewe unasema "This website is suspended...." Naomba mwenye taarifa za ukweli juu ya hili atujuze. Kama kunalink tofauti basi atusaidie pia. Kuna ndugu yng muda wote anasumbua, pia naamini wapo wengi wanaohitaji kuthibitisha.
 
Kwanza umeshindwa kutuelezea taarifa unayosema umeipata na kushindwa kuthibisha sasa tukupatie majibu ya aina gani wakati hata maelezo yako hayaelewe hajatosheleza.
 
Serikali bado ipo bize kushughulikia mambo ya mtaala. Yakiisha tu mambo ya mtaala watatoa hizo ajira.
 
Mi nafikiri kwa kua hao waalimu wanaham sana na ajira ni vyema waajiriwe lakini wawekwe wazi tu kwamba mishahara ya kuwalipa hakuna,wajue wataamua nin maana kila siku ajira tu,we umeshaambiwa r"asilimali zote zimeuzwa na CCM"unachoshindwa kuelewa ni nin wazaz wenu si ndo wale wakereketwa....!wakereketwe bac alafu tuone kama mtachekelea,huu mwanzo tu natamani isiishie hapa.
 
Walimu kama wewe ndo hatuwataki kwenye ajira, na ndio mnafanya walimu wote tunaonekana vilaza! utafundishaje watoto kama hata unachoandika hukijui???? sasa sijui ulikua unataka kutoa taarifa au unauliza ni lini zitatoka???
😕
 
Wadau nimepata taarifa hivi punde lakini nimeshindwa kuzithibitisha juu ya ajira mpya aa walimu. Nimepitia mtandao wa Wizara ya Elimu wenyewe unasema "This website is suspended...." Naomba mwenye taarifa za ukweli juu ya hili atujuze. Kama kunalink tofauti basi atusaidie pia. Kuna ndugu yng muda wote anasumbua, pia naamini wapo wengi wanaohitaji kuthibitisha.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi katangaza ajira hizo leo, kama umepata wahi wanafunzi wanakusubiri darasani, kimbia.
 
Serikali kama ilivyowasaidia kupata taaluma ya UALIMU,ijitahidi kubuni AJIRA kwa walimu wake.
 
Sasa mbona ajira zenyewe zimebagua watu waliosoma coz moja wote wana shahada wamesoma chuo kimoja masomo yanafanana inakuaje wengine wanaajiriwa wengine wanaachwa eti hawastahili kufundisha secondary wakati baadhi wameajiriwa hukohuko secondary hv wenzangu JF inaingia akilini kweli?
 
wandugu tumieni plan B, msing'ang'anie fani mlizosomea mtakufa na vyeti vyenu huku mkisubiri kazi za serikali badilikeni
 
Back
Top Bottom