Ajira mpya---Vijana na kukua uchumi

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Kila mtu anapenda kazi ili apate pesa

Sasa kazi zipo kwa wachache...

Serikali iangalie namna ya kutengeneza Ajira

Kipimo kikubwa kwa serikali yeyote makini duniani ni kuongeza ajira...create jobs


Obama wakati aliingia madarakani aliahidi ajira na kweli Obama akaweza....

Sarkosy wa Ufaransa alishindwa kutengeneza ajira, akawa one term president....

Faida za kutengeneza ajira ni kubwa mno

1- Kutumia nguvu kazi ya vijana kuzalisha mali na kuinua uchumi

2 - Hizo ajira, lazima walipe PAYE Na kodi ya VAT kwa sababu watanunua bidhaa

Namna gani kutengeneza Ajira

1 - Tenga maeneo maalumu (Land bank/ardhi maalum), karibisha vijana Wa Kitanzania na Watanzania wengine

Kila Mwaka watalipa Kodi kwa serikali

Sasa hivi Kijana yeyote au Mtanzania akitaka kuanzisha Kilimo, atakwama....hajui aanzie kwa Lukuvi au aanzie wizara ya kilimo au sijui wapi...Darkness

Kilimo ndo kitazalisha Mali ghafi za Tanzania ya Viwanda....

Kuna fursa nyingi za Kilimo na masoko

----Kilimo cha Miwa (Sukari)
---Kilimo cha Mawese (Palm oil)
-Alizeti (sunflower)
-Sesami (ufuta)
-Maize



2 - Tourism improvement..

Fanya marketing promotion za kutosha kupata watalii

Hizo hapo juu ndo Road Map ya kwenda kwenye Tanzania ya Viwanda

Utalii ndo njia rahisi ya kucreate employment na kuuza mazao ya kilimo

Uchumi utakuwa kwa asilimia kubwa tukifungua southern circuit mpaka Songea

Iko wapi Travel plan labda ya siku 5 mpaka siku 10 ya kumpa mtalii

Mtalii anatua Dar, apande Precision or Fastjet mpaka songwe, Mbeya -Katavi, songea and fly back to Dar......TTB work on this

Tuandae mazingira ya watalii matajiri, Not now, we are not read for rich tourists.

Tuandae kwa miaka 2 au 5......Tusikurupuke

Tuachane na Siasa, tuangalie maisha ya Watanzania yakoje....

Siasa tuzingoje mpaka 2020....Sorry please
 
Ulitakiwa uzivunje ziwe hoja zaidi ya nne. Hapa utapata majibu ya ujumla ambayo hakutakuwa na suluhisho kwa matatizo ya msingi.

Maana umechanganya ukosefu wa ajira na kuboresha mazingira ya kufanyia kazi. Kwa ujumla hoja ni nzito.
 
Asante kwa kuchangia

Natumaini wachumi hawatakuwa wavivu kusoma na kutafakari..
 
Back
Top Bottom