Ajira mpya somo la business studies

Ajira mpya somo la business studies

sammy4

New Member
Joined
Aug 12, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Naomba kujua wale walimu wa ajira mpya wa masomo ya business studies ambao hatuna ualimu ila tumeajiriwa kama walimu vipi kuna waliojaza mikataba ya TSC jamani maana imekua kimya sasa
 
Back
Top Bottom