R Raycriss Member Joined Dec 24, 2012 Posts 9 Reaction score 0 Jan 3, 2013 #1 Jamani naombeni mnijuze kuna mdau mmoja kaniambia eti ajira kwa walimu wote ni mwez wa nne? Je mna taarifa hiyo.
Jamani naombeni mnijuze kuna mdau mmoja kaniambia eti ajira kwa walimu wote ni mwez wa nne? Je mna taarifa hiyo.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,354 Jan 3, 2013 #2 Hapana,ni mwezi wa nane..endelea kuwa mvumilivu.
O OgwaluMapesa JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 10,942 Reaction score 437 Jan 3, 2013 #4 Mwez wa sita baada ya bajeti ya serikali
Goodvision JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 858 Reaction score 467 Jan 4, 2013 #5 Tafuteni sehemu za part time nyie acheni uvivu
F Firstborn lastson Member Joined Jan 1, 2013 Posts 74 Reaction score 8 Jan 4, 2013 #6 Part tym had lini? Isitoshe kpnd hk cha januar shule znakua na program nying endelev tofaut na mwisho wa mwaka ambapo huwa n kukamilisha tu, hvyo mwl. Wa muda mfup huzingatiw sana.
Part tym had lini? Isitoshe kpnd hk cha januar shule znakua na program nying endelev tofaut na mwisho wa mwaka ambapo huwa n kukamilisha tu, hvyo mwl. Wa muda mfup huzingatiw sana.
E Elias Msechu New Member Joined Dec 28, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Jan 4, 2013 #7 Raycriss said: Jamani naombeni mnijuze kuna mdau mmoja kaniambia eti ajira kwa walimu wote ni mwez wa nne? Je mna taarifa hiyo. Click to expand... ah serikali yenyewe c ilitangaza ni mwez wa 1
Raycriss said: Jamani naombeni mnijuze kuna mdau mmoja kaniambia eti ajira kwa walimu wote ni mwez wa nne? Je mna taarifa hiyo. Click to expand... ah serikali yenyewe c ilitangaza ni mwez wa 1
GOOGLE JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 1,889 Reaction score 1,127 Jan 4, 2013 #8 Kichwa chako cha kuku kweli! Perry said: Hapana,ni mwezi wa nane..endelea kuwa mvumilivu. Click to expand...
Kichwa chako cha kuku kweli! Perry said: Hapana,ni mwezi wa nane..endelea kuwa mvumilivu. Click to expand...
E Enjoy Fumbo Member Joined Oct 21, 2012 Posts 11 Reaction score 4 Jan 4, 2013 #9 Mbona bado? Vumilia mwz wa 2
Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,346 Reaction score 26,138 Jan 4, 2013 #10 Ajira hazina tetesi
Spider JF-Expert Member Joined Feb 13, 2011 Posts 1,641 Reaction score 556 Jan 4, 2013 #11 endelea kusubiri mwalimu
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,548 Jan 4, 2013 #12 Raycriss said: Jamani naombeni mnijuze kuna mdau mmoja kaniambia eti ajira kwa walimu wote ni mwez wa nne? Je mna taarifa hiyo. Click to expand... Walimu wote!??? ina maana na sie tulioko kwenye ajira tutaajiliwa tena!???
Raycriss said: Jamani naombeni mnijuze kuna mdau mmoja kaniambia eti ajira kwa walimu wote ni mwez wa nne? Je mna taarifa hiyo. Click to expand... Walimu wote!??? ina maana na sie tulioko kwenye ajira tutaajiliwa tena!???
Matti Member Joined Jan 24, 2011 Posts 94 Reaction score 5 Jan 5, 2013 #13 Endelea kusubiri tuu, very soon mtaajiriwa.
The secretary JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 4,148 Reaction score 2,540 Jan 5, 2013 #14 Baba V said: Walimu wote!??? ina maana na sie tulioko kwenye ajira tutaajiliwa tena!??? Click to expand... Watu wana hamu sana ajira za walimu huwa jan katikati na jan mwishoni ni kureport kazini. Baba V tunapata ajira upya bwana.
Baba V said: Walimu wote!??? ina maana na sie tulioko kwenye ajira tutaajiliwa tena!??? Click to expand... Watu wana hamu sana ajira za walimu huwa jan katikati na jan mwishoni ni kureport kazini. Baba V tunapata ajira upya bwana.
M Mkulima wa kawaida Senior Member Joined Dec 22, 2012 Posts 167 Reaction score 37 Jan 5, 2013 #15 Kazi ni nzuri lakini serikali ya Tanzania siyo rafiki kwa mwalimu.
A anuary salum Member Joined Dec 7, 2012 Posts 70 Reaction score 4 Jan 7, 2013 #16 We sahau ajira hazitoki leo wala kesho,Serikal haina pesa za kuwalipa.
M Mwalimu valle New Member Joined Jan 10, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Jan 10, 2013 #17 January 15 kitu hewani
Y ylazaro Member Joined Dec 16, 2012 Posts 13 Reaction score 1 Jan 10, 2013 #18 Ucjali,bado kitambo kidogo 2taajiliwa ila 2talipwa maneno (sound) badala ya pesa.
A Anuary Da Handsome'b Member Joined Dec 16, 2012 Posts 83 Reaction score 7 Jan 11, 2013 #19 January 17 we xubiri tu joh.
K KANYONGO KAHUJA Member Joined Jan 11, 2013 Posts 24 Reaction score 3 Jan 13, 2013 #20 Wanawachelewesha halafu mkifika kzini hakuna hela