KERO Ajira Mpya Kasulu hatujapewa pesa za kujikimu. Maisha ni magumu!

KERO Ajira Mpya Kasulu hatujapewa pesa za kujikimu. Maisha ni magumu!

  • Thread starter Thread starter Anonymous (54df)
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mmojawapo wa waaajiriwa katika idara mpya katika Halmashauri ya mji Kasulu.

Tumeajiriwa toka tarehe 1/07/2025 mpaka sasa hatujalipwa pesa za kujikimu.

Tukiiuliza, wanasema pesa hazijaja na zinatoka Serikali Kuu.

Je, ni kwanini tulioajiriwa nao kada moja na kwa wakati mmoja wamelipwa lakini Halmashauri ya Mji Kasulu haitupi majibu sahihi wale ajira mpya tunaodai toka mwezi wa 7 mwaka jana?
 
Mwezi wa saba mwaka jana hamjalipwa na hampewi sababu yeyote 🤔,serikali ya hovyo sana na hata kwenda mahakamani au bodi za haki ni useless tuu, pole msiache kupiga kelele labda kuna siku mtasikilizwa
 
Poleni sana. Nendeni kwa Mwajiri wenu yaani Mkurugenzi na mkiona anazingua nendeni kwa RAS pale Mkoani mkamweleze straight

Nchi ya ajabu sana hii sometimes
 
Posho ya kujikimu kwa afisa maendeleo ya jamii kwa Halmashauri huwa ni Shngapi?
 
Back
Top Bottom